Chagua Kozi Sahihi 2026

70% ya wanafunzi wanajuta uchaguzi wao wa kozi! Usiwe mmoja wao. Pata mwongozo sahihi kutoka kwa wataalamu.

918+

Kozi 2026

111+

Vyuo Tanzania & Campus

Mwanafunzi anafanya uchaguzi wa kozi

Tangazo • Vyuo vinakubali maombi

📋 Hatua 8 za Kuchagua Kozi Usiyojuta

Jitambue

Gundua vipaji na masilahi yako.

Weka Malengo

Fikiria unataka kuwa wapi baada ya miaka 5.

Tafiti Soko

Angalia kozi zinazohitajika sasa na baadaye.

Wasiliana na Wataalamu

Zungumza na wataalamu na wanafunzi waliomaliza.

Angalia Masharti

Hakikisha unafikia alama za kujiunga.

Gharama na Muda

Hesabu ada, malazi, chakula na muda wote.

Chagua Chuo

Linganisha vyuo vinavyotoa kozi husika.

Chukua Muda

Usikimbilie! Tafiti kwa kina kwa siku 7-14.

Tangazo • Nafasi za masomo 2026/2027

📋 Kozi 2026

Angalia Zote
Medicine (MBBS)

Programu ya udaktari inatoa mafunzo kamili ya matibabu, kujumuisha anatomy, phys...

5-6 years
TZS 4,000,000 - 8,000,000/year
Medical Officer (Government Hospitals - Muhimbili,...
Bachelor of Arts with Education

Professional teacher education programme for arts subjects. Combines subject con...

3 years
TZS 1,800,000 - 2,300,000/year
Secondary School Teacher (Government Schools - War...
Computer Science

Programu ya kusoma sayansi ya kompyuta inajumuisha ujuzi wa programming, algorit...

3-4 years
TZS 1,500,000 - 3,000,000/year
Software Developer (Tech Companies - NCR Tanzania,...
Business Administration

Programu ya usimamizi wa biashara inalenga kutoa ujuzi wa usimamizi, uhasibu, ma...

3 years
TZS 1,200,000 - 2,500,000/year
Business Manager (Corporate Companies, SMEs), Oper...
Information Technology

Programu ya teknolojia ya habari inatoa ujuzi wa mifumo ya kompyuta, mitandao, u...

3 years
TZS 1,400,000 - 2,800,000/year
IT Manager (Corporate Organizations, Banks, Teleco...
Electrical Engineering

Programu ya uhandisi wa umeme inahusisha kubuni, kusanifu na kudumisha mifumo ya...

4 years
TZS 2,000,000 - 4,000,000/year
Electrical Engineer (TANESCO, Rural Energy Agency ...

🏆 Vyuo Vinavyokubali Maombi Sasa

Vyuo Vingine Vinavyopendekezwa

Eastern Africa Statistical Training Centre

Eastern Africa Statistical Training Centre (EASTC) is a public trainin...

Dar es Salaam
University of Dodoma

The University of Dodoma (UDOM) is the largest public university in Ta...

Dodoma
University of Dar es Salaam (UDSM)

The University of Dar es Salaam (UDSM) is Tanzania's oldest and premie...

Dar es Salaam

Tangaza chuo chako hapa!

Wafikie wanafunzi zaidi ya 50,000 kila mwezi.

Anza Tangaza - TZS 200,000/mwezi

*Bei ni pamoja na matangazo kwenye mitandao yetu yote.

🎯 Je, Kozi Gani Inakufaa Zaidi?

Weka combination zako na upate orodha ya kozi zinazokufaa kabisa.

Tathmini ya Masilahi na Uwezo

Inachukua dakika 1 tu. Utapata:

  • Orodha ya kozi zinazokufaa
  • Mahitaji ya kujiunga
  • Vyuo vinavyopendekezwa
  • Ujuzi utakaoupata
  • Mwelekeo wa ajira
  • Hatua za kufuata
Anza Tathmini Bure Sasa

Zaidi ya wanafunzi 5,000+ wamesha tumia huduma hii

💼 Baadhi ya Ajira 2026-2027

Nurse

Mtumishi wa afya anayetoa huduma za kimsingi za matibabu, kusaidia madaktari, na...

TZS 600,000 - 3,500,000/month
Mechanical Engineer

Mhandisi anayebuni, kutengeneza na kudumisha mashine na mifumo ya mitambo katika...

TZS 950,000 - 6,500,000/month
Data Analyst

Mtaalamu anayechambua data kuboresha maamuzi ya biashara kupitia uchambuzi wa ta...

TZS 900,000 - 5,500,000/month
Social Worker

Mtaalamu anayewasaidia watu wenye changamoto za kijamii, kimaisha na kiuchumi.

TZS 500,000 - 2,200,000/month
Bank Teller

Mfanyakazi wa benki anayeshughulika na huduma za kawaida kwa wateja kama kutoa n...

TZS 450,000 - 1,800,000/month
Software Developer

Mtaalamu anayeunda programu za kompyuta, maombi ya simu, na tovuti. Anafanya kaz...

TZS 800,000 - 5,000,000/month

Usikose Nafasi ya Maisha Yako!

Uchaguzi wa kozi ndio uamuzi muhimu zaidi kwa miaka 20 ijayo.